Author: Jamhuri
Wakandarasi miradi ya umeme Tanga watakiwa kuongeza kasi ya huduma kwa wateja
📌Vijiji vyote 763 sawa na asilimia 100 vimeshapata huduma ya umeme Tanga 📌Vitongoji 2,382 sawa na asilimia 52.6 vimeshapata huduma ya umeme 📌Shilingi bilioni 68.5 yawezesha utekelezaji miradi ya REA Tanga 📍Korogwe – Tanga Wakandarasi wote waliopewa zabuni ya kutekeleza…
Nchimbi awanadi wagombea Jimbo la Tarime
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi leo Jumapili Agosti 31 ,2025 ameendelea na kampeni zake kwa kufanya mkutano mkubwa katika mji wa Nyamongo, jimbo la Tarime vijijini mkoani Mara. Balozi…





