Author: Jamhuri
Waziri Mkuu: Serikali inaithamini sekta binafsi
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazofanya kazi kwa karibu sana na sekta binafsi ili kukuza uchumi na kuleta maendeleo kwa wananchi wake. Ametoa kauli hiyo wakati akishiriki mjadala uliojumuisha mawaziri wakuu wanne kutoka Tanzania, Ivory…
Dk.Chana:Tanzania yavuna dola bilioni 3.3 kupitia sekta ya utalii
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema sekta ya utalii nchini imeingiza mapato ya Dola za Kimarekani bilioni 3.3 kutokana na ongezeko kubwa la idadi ya watalii kufikia 5,360,247, ikiwa ni pamoja na watalii wa ndani 3,218,352 na wa…
Serikali yafanya tathmini ya changamotoza maziwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imefanya tathmini ya kina ya hali ya mazingira ya Ziwa Tlawi lililopo mkoani Manyara na kuandaa taarifa iliyobainisha changamoto mbalimbali ambazo zinatishia uhai na uwepo wa ziwa pamoja na mifumo ikolojia yake. Hayo yamesemwa…
Zaidi ya nyumba 800 Mtwara kuunganishwa na mfumo wa gesi ya kupikia – Kapinga
📌 Awasisitiza TPDC na REA kushirikiana ili kuongeza kasi ya kuunganisha gesi majumbani 📌 Asema Mkakati wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia ni endelevu Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika…
Marekani yaidhinisha uuzaji wa ndege za kijeshi kwa UAE
Maafisa wa Marekani wamesema Wizara ya Mambo ya Nje imeidhinisha mauzo ya ndege za kijeshi na silaha zenye thamani ya dola bilioni 1.4 kwa UAE kuelekea ziara ya Rais Donald Trump wiki hii Mashariki ya Kati. Maafisa kutoka idara ya…
Waomba msaada wa dawa ya kuangamiza popo Kituo cha Afya Kirya Kilimanjaro
Na Kija Elias , JamhuriMedia, Mwanga Wananchi wa Kijiji cha Kirya, Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, wameiomba serikali kuwasaidia dawa za kuua popo waliovamia majengo ya Kituo cha Afya Kirya na kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu ya ndani,…





