JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wananchi wakaribishwa Nanenane kufahamu kwa kina mpango mahsusi wa nidhati 2025 – 2030

📌 Ni uliosainiwa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Misheni 300 Wizara ya Nishati imekaribisha wananchi kuendelea kutembelea Banda la Wizara ya Nishati katika Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima- NANENANE jijini Dodoma ili kufahamu masuala mbalimbali ikiwemo…

Sura mpya 10 zaibuka kidedea ubunge CCM Tabora

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora KURA za maoni kwa watia nia wa ubunge na udiwani ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kata na Majimbo yote ya uchaguzi hapa nchini zimehitimishwa jana na kushuhudiwa damu mpya zikipenya katika uchaguzi huo….

EWURA CCC yapongezwa, yaelekezwa kuimarisha huduma vijijini

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, leo Agosti 5, 2025 ametembelea banda la Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA CCC) katika Maonesho ya Wakulima Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni…

Benki ya Coop yatoa bilioni 8.5/- kwa vijana

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma BENKI ya Ushirika (Coop Benki), kwa kushirikiana na Mfuko wa Pembejeo wa Kilimo (AGITIF), imetoa mkopo wa Shilingi bilioni 8.5 kwa wakulima kupitia vyama vya ushirika, ikiwa ni hatua ya kuchochea kilimo chenye tija na…

Barabara za TARURA kufungua fursa kwa wakulima na wafugaji

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umeeleza dhamira yake ya kuendelea kuwa kiungo muhimu katika kuwawezesha wakulima na wafugaji kufanikisha shughuli zao za kiuchumi kupitia ujenzi wa miundombinu ya barabara inayowaunganisha…