JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

UAE inaongoza mauaji ya halaiki Sudan

Serikali ya Khartoum imeufikisha Umoja wa Falme za Kiarabu mbele ya mahakama ya ICJ, ikiishtaki kwa kuhusika katika mauaji ya kimbari dhidi ya jamii ya Masalit kwa kuwaunga mkono wanamgambo wa RSF. Sudan imeieleza Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ…

USSI: Wafugaji wachangamkie fursa ya soko la ndani na nje kupitia machinjio ya kisasa Vigwaza

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze Wafugaji wa mifugo mbalimbali ,wametakiwa kuchangamkia fursa ya soko la ndani na nje ya nchi kupitia machinjio ya kisasa ya Union Meat Abattoirs Ltd, yaliyopo katika kijiji cha Kwazoka, Vigwaza, Halmashauri ya Chalinze, mkoani Pwani….

Serikali inaendelea na ukarabati wa miundombinu ya umeme -Kapinga

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma 📌 Lengo ni kuondokana na changamoto ya kukatika kwa umeme 📌 Ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Kilindi, Tanga waffikia asilimia 35. 📌Bilioni 2.63 kulipa fidia wanaopisha njia ya kusafirisha umeme Mkata-…

Lissu kortini kwa mashtaka ya uhaini na kuchapisha taarifa za uongo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa shitaka la uhaini pamoja na kuchapisha taarifa za uongo kwa lengo la kupotosha…

Wataalam watoa dawa za usingizi na ganzi tiba nchini wakutana Arusha

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Chama cha Wataalamu Watoa Dawa za Usingizi na Ganzi Tiba Tanzania ( TANPA) kimekutana mkoani Arusha kwa lengo la kujadili namna ya kuondoa changamoto zilizopo kwa wataalamu hao na kuweza kuboresha utoaji wa huduma  katika…