Author: Jamhuri
TEA kufadhili miradi 113 ya kuboresha miundombinu ya elimu
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Katika kipindi cha mwaka wa fedha 2024/25 Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)imepanga kufadhili jumla ya miradi 113 ya kuboresha miundombinu ya elimu katika shule za msingi na Sekondari kwenye maeneo mbalimbali nchini yenye thamani ya sh.bil.11.3….
Watumishi Tume ya Madini wajengewa uwezo matumizi ya mashine za kupima madini ya metali
Katibu Mtendaji awataka kuendelea kuchapa kazi kwa kujituma na uadilifu Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo amewataka watumishi wa Tume kufanya kazi kwa kujituma na weledi hasa kwenye usimamizi wa shughuli za…
Benki ya NMB yaweka viwango vipya vya ubora wa ajira na ustawi wa wafayakazi nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika mazingira ya sasa hivi ya ajira yenye ushindani mkubwa wa kuvutia na kuhifadhi vipaji bora, Benki ya NMB imeendelea kuwa mwajiri kinara nchini na chaguo pendwa la wafanyakazi wa kada zote. Kupitia…
Wanaharakati Kenya waandamana kupinga kesi dhidi ya Besigye
Mashirika ya kiraia nchini Kenya na mengine ya kimataifa yamefanya maandamano ya amani hii leo ya kupinga kushikiliwa kwa wafungwa kinyume cha sheria na utekaji nyara wa kiongozi wa upinzani wa Uganda, Kizza Besigye. Mashirika ya kiraia nchini Kenya na…
Ugonjwa usiojulikana waua zaidi ya watu 50 nchini Kongo
Kwa mujibu wa madaktari waliopo katika eneo hilo na shirika la afya duniani WHO, zaidi ya watu 50 wamefariki kaskazini magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na ugonjwa usiojulikana. Mkurugenzi wa hospitali ya Bikoro, kituo cha ufuatiliaji wa…