JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mkenda asema Rais Samia amepeleka bil. 8.9/- za maji Rombo

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Moshi Mgombea ubunge Jimbo la Rombo, Profesa Adorf Mkenda amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Sh bilioni 8.9 kwa ajili ya mradi mkubwa wa maji kutoka Ziwa Chala. Ametoa kauli hiyo alipopewa nafasi ya kusalimia maelfu ya…

Viwango vya udumavu na ukodevu vimepungua nchini – Majaliwa

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa kiwango cha udumavu miongoni mwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano nchini kimeshuka kutoka asilimia 48 mwaka 1992 hadi asilimia 30 mwaka 2022.  Ameongeza kuwa, kiwango cha ukondefu miongoni mwa watoto walio…

Othman Masoud: Sauti ya Mabadiliko na ushindi wa Zanzibar Oktoba 29

Meneja wa kampeni za Mgombea Urais wa ACT Wazalendo, Ismail Jussa Ladhu, amewataka Wazanzibari kujitokeza kwa wingi ifikapo Oktoba 29 ili kumchagua Othman Masoud Othman, akisema huu ndio wakati wa kurejesha heshima, utu na thamani ya wananchi wa Zanzibar. Akizungumza…

Juma Duni Haji :ACT Wazalendo yashikilia nguvu ya ushindi Zanzibar

Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji, amesema hakuna nguvu itakayoweza kuizuia ACT kutoshinda Urais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, hata kama uchaguzi huo ungefanyika kwa mwezi mzima na sio kwa siku mbili pekee….