JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Serikali yajikita kuboresha mfumo wa utoaji gawio

Na Mwandishi wa OMH, Zanzibar Ofisi ya Msajili wa Hazina (Tanzania) imeshiriki kikao cha wadau cha kuwasilisha Rasimu ya Muongozo wa Uandaaji wa Sera ya Gawio kwa taasisi za uwekezaji wa umma Zanzibar. Kikao hicho, kilichofanyika Jumanne, Novemba 11, 2025,…

Mafia na mikakati endelevu kupambana na taka baharini

Na Mwamvua Mwinyi, Mafia KATIKA mwambao wa Mashariki mwa Tanzania, Kisiwa cha Mafia kinajulikana kwa utulivu wake wa asili, mandhari ya kuvutia ya bahari na matumbawe yaliyojaa uhai.  Hata hivyo, chini ya uso wa samawati wa maji yake, changamoto ya…

Magereza :Njooni muwaone ndugu na kuwapa mahitaji mahabusu, TLS kutoa msaada wa kisheria

Na Mwandishi Wetu,Jamhuri Media, Dar es Salaam Jeshi la Magereza limewashauri maelekezo wazazi/Nlndugu jamaa na marafiki wa vijana ambao walikamatwa Oktoba 29,30,2025 na wamekwisha fikishwa mahakamani kufika mahabusu kuwaona ndugu zao ikiwemo kuwapelekea mavazi na mahitaji mengineyo . Itakumbukwa 7,…

Dorothy Gwajima aahidi kulitumikia taifa kwa uaminifu

Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, ameapishwa na kula kiapo cha uaminifu na ahadi ya uzalendo mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu mara baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…

Rais Samia afanye hivi …

Kwa miaka mingi, Tanzania imekuwa kisiwa cha amani katika bahari yenye misukosuko ya migogoro barani Afrika. Tulijenga taifa letu juu ya misingi ya haki, utu, na umoja. Hizi ni tunu ambazo Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliziita nguzo za uhai wa…

Wachimbaji wadogo wa Madini Simiyu wapaza sauti : Tunaweza Tukipewa Umeme na Mikopo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu WACHIMBAJI Wadogo wa Madini wa Mkoa wa Simiyu wameiomba Serikali pamoja na taasisi za kifedha kuwaunga mkono kwa kuwapatia umeme wa kudumu na mikopo yenye masharti nafuu, wakisema changamoto hizo zimekuwa kikwazo kikubwa katika kuongeza…