JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Nafasi ya uenyekiti Tume ya Umoja wa Afrika yabaki kitendawili

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salam Joto la kinyang’anyiro katika nafasi ya Mwenyekiti wa tume ya umoja wa mataifa linazidi kupanda kwa wagombea wa nafasi hiyo. Nafasi hiyo ya uenyekiti imekuwa ikishikiliwa na Moussa Faki raia wa Chad tangu…

Wakuu wa wilaya, wakurugenzi Arusha watakiwa kusimamia kikamilifu suala la lishe

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha MKUU wa wilaya ya Karatu Dadi Kolimba amewataka Wakuu wa wilaya na Wakurugenzi  kusimamia kikamilifu suala la lishe katika maeneo yao ili kuwa na Taifa lenye watu wenye afya bora pamoja na utimamu wa akili….

Kapinga ashiriki kikao cha mawaziri wa kisekta Arusha

📌 Tanzania, Rwanda, Uganga kusaini MOU kuendeleza mradi wa kufua umeme wa pamoja wa Nsongezi 📌 Baraza kusimamia Kongamano na Maonesho ya 11 ya Petroli ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 5 hadi 7 2025 Jijini, Dar es Salaam. Naibu…