Author: Jamhuri
Bila wanyamapori hizi ndege si kitu
Dhamira ya Rais John Magufuli, katika kuijenga Tanzania mpya, inaonekana. Anatambua nafasi ya utalii katika uchumi wa nchi yetu. “Ukitaka kujenga nchi yenye uchumi wa kisasa, huwezi kujenga bila kuwa na ndege na ukitaka watalii lazima uwe na ndege. Tunataka…
Pengo la matajiri, maskini ulimwenguni ni tishio kwa wote
Shirika la Oxfam la nchini Uingereza limetoa taarifa hivi karibuni kubainisha kuwa watu 62 duniani wanamiliki zaidi ya nusu ya utajiri unaomilikiwa na nusu ya watu katika sayari hii. Watu 62 wanamiliki utajiri unaomilikiwa na watu 3,750,000,000. Oxfam wanatuambia kuwa…
Heri ya mchawi kuliko mwongo
Juma lililopita katika safu hii, nilizungumzia maneno mawili haki na batili. Haki inavyoelekeza jamii ya watu katika kweli, na batili inavyopotosha jamii hiyo katika dhuluma. Mgongano huo kifalsafa ubajenga hali ya ‘figisufigisu’ ndani ya jamii ya Watanzania. Leo naelekeza fikira…
FIFA kufanya mapinduzi ya soka
Rais mpya wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, amekuja na mapendekezo mapya ya kutaka kufanya mabadiliko katika mchezo wa soka. Baada ya kuongeza timu zitakazoshiriki Kombe la Dunia mwaka 2026 na kufikia 48, Rais huyo amekuja na mapendekezo mapya…
Polisi, mbunge washiriki ‘wizi’
Mchezo wa wanasiasa kutumia kampuni za mfukoni kunyofoa rasilimali za umma bado unaendelea, baada ya JAMHURI kubaini kuwa mmoja wa wabunge wamejipatia zaidi ya Sh bilioni 40 kwa njia ya udanganyifu. Kibaya zaidi na bila woga, waliokabidhiwa dhamana ya kulinda…
Watendaji Kilwa wachunguzwa
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi, ameiagiza Wilaya ya Kilwa kuunda timu itakayofanya uchunguzi ili kubaini watendaji waliosababisha kukwama kwa ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kisongo, pamoja na ujenzi wa maabara ya Shule ya Sekondari Kata ya Lihimalyao. …