Author: Jamhuri
Urusi na Ukraine zashambuliana kwa makombora usiku kucha
Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema leo kwamba mifumo yake ya ulinzi wa anga imezidungua droni 47 zilizorushwa na Ukraine katika mashambulizi yaliyolenga miji mitano na ambayo yamewajeruhi watu sita. Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema leo kwamba mifumo yake…
Gwiji wa zamani wa ngumi George Foreman afariki dunia
Bondia maarufu wa zamani wa ngumi za uzito wa juu George Foreman amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76, kwa mujibu wa taarifa ya familia yake. Familia yake iliandika kwenye Instagram Ijumaa usiku: “Mioyo yetu imevunjika.”Mhubiri mwenye imani kubwa,…
Israel yaishambulia vikali Lebanon
Israel inasema inawashambulia kwa kuwalenga Hezbollah kusini mwa Lebanon baada ya roketi kurushwa kutoka huko kuelekea Israel kwa mara ya kwanza tangu makubaliano ya kusitisha mapigano kuanza kutekelezwa mnamo Novemba. Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alisema alikuwa ameagiza Jeshi…
Mkuchika atangaza rasmi kutogombea ubunge
Mbunge wa Jimbo la Newala Mjini mkoani Mtwara ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) Kapteni Mstaafu George Mkuchika ametangaza rasmi kutogombea tena nafasi ya ubunge katika uchuguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025. Akizungumza wakati…
Kuondolewa kwa hitajio la VISA kwa Watanzania wanaoingia DRC
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kufahamisha Umma kwamba, Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imeondoa hitajio la Visa kwa raia wa Tanzania wanaoingia DRC kuanzia tarehe 20, Machi, 2025. Baada ya Jamhuri…





