Author: Jamhuri
CRDB Foundation na GIZ wazindua mradi wa Ajira Ye2, kuzalishwa zaidi ya ajira 500
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam TAASISI ya CRDB Bank Foundation kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ) wamezindua rasmi programu ya Ajira Ye2 itakayowawezesha vijana na wanawake zaidi ya 500 kupata ajira na kukuza biashara zao…
Taasisi za Umma zapitisha maazimio tisa ya kuimarisha ufanisi
Na Mwandishi wa OMH, Dar es Salaam. Zaidi ya Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma 650 nchini walikutana jijini Arusha kati ya Agosti 23–26, 2025 katika kikao kazi cha mwaka, maarufu kama, CEOs Forum, na kukubaliana juu…
RC Ruvuma akabidhi magari 24 kwa Jeshi la Polisi
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Ahmed Abbas ametoa wito kwa Jeshi la Polisi Mkoani humo kuhakikisha kuwa wanatumia vitendea kazi walivyopewa yakiwemo magari kuyatumia kwa usahihi na umakini mkubwa. Wito huo ameutoa leo…
Ridhiwani aahidi upatikanaji maji kwa asilimia 100, kaya 300,000 kufikiwa
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze Mgombea ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete, amesema kuwa endapo wananchi watakipa tena chama hicho ridhaa katika uchaguzi mkuu, serikali ya CCM itahakikisha upatikanaji wa maji kwa asilimia 100…
Mgombea urais CUF, Gombo aahidi wazee miaka 60 akiingia madarakani watalipwa posho kila mwezi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora, Mgombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo amewahakikishia wazee kwamba kwenye Serikali yake wazee wote wenye umri kuanzia miaka 60 watalipwa posho kwa kuwa…
Marekani yaharibu meli inayodaiwa kuwa ya dawa za kulevya ya Venezuela
RAIS wa Marekani Donald Trump amesema Jeshi la Marekani limeharibu meli inayodaiwa kuwa ya mihadarati ya Venezuela iliyokuwa ikisafiri katika bahari ya kimataifa ikielekea Marekani. Trump alisema siku ya Jumatatu kwamba wanaume watatu waliuawa katika shambulizi dhidi ya “makundi ya…