Author: Jamhuri
Nchi 43 kupigwa marufuku kusafiri Marekani
UTAWALA wa Rais wa Marekani Donald Trump umetoa pendekezo la kuweka marufuku mpya ya kusafiri kuingia nchini humo itakayowaathiri raia wa mataifa kadhaa kwa viwango vinavyotofautiana. Kulingana na gazeti la Marekani la New York Times lililowanukuu maafisa ambao hawakutajwa majina…
Marekani yamfukuza balozi wa Afrika Kusini kwa kumchukia Rais Trump
Marekani imemfukuza balozi wa Afrika Kusini Ebrahim Rasool. Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio amesema balozi huyo ni mwanasiasa mbabe, haipendi Marekani na anamchukia Rais Donald Trump. Uhusano kati ya Marekani na Afrika Kusini umekuwa ukizorota tangu Trump alipokata…
Dkt. Ndumbaro azitaka Bodi za Wadhamini zising’ang’anie madaraka
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Katiba na Sheria Dk Damas Ndumbaro ameziagiza Bodi mbalimbali za Wadhamini wa taasisi ambazo zimemaliza muda wake wa uongozi kufanya uchaguzi mara moja ndani ya kipindi cha miezi miwili.Akizungumza kwenye ufunguzi…
Prof. Janabi miongoni mwa wagombea watano kumrithi Ndugulile WHO
Mmoja wa wataalamu wakubwa wa afya nchini Tanzania, Profesa Mohamed Janabi, ametangazwa rasmi kuwania nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Kanda ya Afrika. Prof. Janabi, ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili…
Waziri Kikwete aitaka Bodi ya Wadhamini NSSF kuzingatia miongozo
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa nchi, ofisi ya Waziri Mkuu ,Kazi, vijana, ajira na watu wenye ulemavu, Mhe: Ridhiwani Kikwete ameitaka bodi ya wadhamini ya mfuko wa taifa wa uhifadhi jamii nchini NSSF kusimamia mpango mkakati…
Watanzania waombwa kuchangamkia fursa za masomo India
Na Lookman Miraji, JamahuriMedia, Dar es Salaam Ubalozi wa India nchini Tanzania, hivi karibuni umetangaza mpango wa ufadhili wa masomo wa (India-Africa Maitri Scholarship Scheme) chini ya baraza la uhusiano wa kitamaduni la India (ICCR). Fursa hizo zimeendelea kutangazwa kwa…





