JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

CBE yaisaidia shule ya sekondari Benjamin Mkapa vifaa vya milioni 4.4/-

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimetoa msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni 4.4 kwa shule ya elimu jumuishi ya Benjamin Mkapa ya jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa msaada…

Watendaji uboreshaji wa daftari awamu ya pili watakiwa kuzingatia sheria- INEC

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kufanya kazi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na taratibu za Uchaguzi wakati wa utekelezaji wa awamu ya pili ya…

Watano wauawa kwa shambulio wanaoshukiwa kuwa Al-Shabaab Kenya

Wafanyakazi watano wa machimbo ya mawe wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa kufuatia shambulio lililofanywa na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al-Shabaab katika eneo la machimbo katika Kijiji cha Bur Abor, Mandera Mashariki nchini Kenya. Katika kisa kilichotokea mapema Jumanne asubuhi,…

Vita vya kibiashara vya Trump vyatawala mkutano wa BRICS

Vita vya kibiashara vilivyosababishwa na sera mpya za ushuru za rais Donald Trump wa Marekani vimeutawala mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za BRICS unaofanyika mjini Rio de Janeiro, Brazil. Mawaziri wa mambo ya nje wa Brazil,…

Timu za kuogelea zang’ara mashindano ya taifa

Na Lookman Miraji Mashindano ya vilabu ya taifa kwa mchezo wa kuogelea yamefikia hatamu hapo jana, Aprili 27 jijini Dar es salaam. Mashindano hayo ambayo ni sehemu ya kalenda ya chama cha kuogelea nchini yamejumuisha vilabu vya mchezo huo kutoka…