Author: Jamhuri
Ubunge ni kazi ya watu – Dk Biteko
Dkt. Doto Mashaka Biteko leo Agosti 3, 2025 amefika kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge wa jimbo la Bukombe ikiwa ni sehemu ya utambulisho wa wagombea wa udiwani na…
Trump aagiza kuwekwa nyambizi za nyuklia baada ya malumbano
Rais wa Marekani Donald Trump anasema ameamuru manowari mbili za nyuklia “kuwekwa katika maeneo yanayofaa” kujibu matamshi “ya uchochezi” ya Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev. Trump alisema alitenda hilo “ikiwa tu kauli hizi za kipumbavu na za uchochezi…
Trump amfukuza kazi mkuu wa Idara ya Takwimu za Zjira
Rais wa Marekani Donald Trump amemfukuza kazi mkuu wa idara inayoshughulikia takwimu za ajira baada ya idara hiyo kuchapisha takwimu ambazo kwa mtazamo wa Trump zinavunja moyo Rais Trump bila ya kutoa Ushahidi wowote amemshutumu Bi. Erika McEntarfer, kwa kuchakachua…
Ukraine yailenga miundombinu ya Urusi kwa kutumia dronI
UKRAINE kwa mara nyingine imefanya mashambulizi makubwa ya ndege zisizo na rubani kwenye mikoa ya Urusi Mashambulizi hayo ya usiku kucha wa kuamkia siku ya Jumamosi yamesababisha milipuko katika miundombinu ya kuchakata mafuta. Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema hii…
Taifa Stars yaanza vyema michuano CHAN, yaichapa Burkina Faso 2-0
Timu ya Taifa ya Tanzania, maarufu kama ‘Taifa Stars’ imeanza vyema kampeni zake katika michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) kwa mwaka 2024 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Burkina…
REA yatoa bilioni 4 kuzalisha umeme wa maji Lupali
Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imetoa kiasi cha shilingi bilioni 4.6 kwenye mradi wa kuzalisha umeme wa maji Lupali wenye uwezo wa kuzalisha kilowati 317 unaotekelezwa na shirika la Benedictine Sisters of St. Gertrud Convent Imiliwaha. Hayo yamebainishwa na Mjumbe…