Author: Jamhuri
Serikali kufanya jitihada za kudhibiti madhara ya mmonyoko na kupanuka kwa kingo za mito
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema Serikali inaendelea kufanya jitihada mbalimbali za kudhibiti madhara ya mmomonyoko na kupanuka kwa kingo za mito. Khamis amesema hayo wakati…
Azma ya Serikali ni kuhakikisha wananchi wanapata umeme wa uhakika wakati wote – Kapinga
📌 Serikali yafuatilia kwa karibu upatikanaji umeme Lushoto 📌 Vijiji vyote Nkasi vyafikiwa na huduma ya umeme Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema ni azma ya Serikali kuhakikisha wananchi wanapata umeme wa uhakika na…
INEC yatoa vibali 157 elimu ya mpiga kura
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa vibali 157 kwa asasi za kiraia kwa ajili ya kutoa elimu ya mpiga kura wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu kwa Wapiga kura. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi…
Shabiki wa soka achomwa kisu hadi kufa wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya Ghana
Shabiki maarufu wa mpira wa miguu amechomwa kisu hadi kufa wakati wa mechi ya ligi nchini Ghana siku ya Jumapili. Mchezo huo ulikuwa kati ya moja ya klabu zenye wasomi na mafanikio makubwa nchini – Kumasi Asante kotoko na neigbours…
Kutoka bungeni Dodoma
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akijadiliana jambo na Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga Bungeni Jijini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo Februari 03, 2025.