Author: Jamhuri
Israel yaanza operesheni ya ardhini Gaza City
Jeshi la Israel limeanza operesheni ya ardhini kwenye mji mkubwa zaidi wa Ukanda wa Gaza baada ya majuma kadhaa ya mashambulizi ya anga. Mtandao wa habari wa Axios umeripoti taarifa hizo ukiwanukuu maafisa kadhaa wa Israeli. Serikali mjini Tel Aviv…
Dk Biteko amnadi Musukuma, asema amepigania maslahi ya wana-Geita
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Doto Mashaka Biteko amesema kuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Geita Vijijini Joseph Kasheku Musukuma ni kiongozi…
Mama Salma: Njia pekee kuthamini kazi kubwa aliyofanya Dk Samia ni kumpa kura, Ridhiwan kiongozi mwenye dira
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze Mke wa Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete, ametoa wito kwa wananchi wa Jimbo la Chalinze, kumpigia kura za kishindo mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, akisema…
Kufufuliwa kwa reli ya TAZARA, ujenzi wa reli kusini utaleta mageuzi makubwa kiuchumi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kufufuliwa kwa Reli ya TAZARA, ujenzi wa reli ya kusini Mtwara -Mbamba bay) utaleta mageuzi makubwa ya kiuchumi kwa mikoa ya Kusini na…
Trump asema yuko tayari kuiwekea vikwazo Urusi
Rais Donald Trump wa Marekani amesema yuko tayari kuiwekea vikwazo zaidi Urusi kutokana na vita vya Ukraine lakini ameyataka mataifa ya Ulaya yachukue hatua sawa ya hiyo ya kuitenga zaidi Urusi. Trump aliwaambia waandishi habari mjini Washington kwamba Ulaya bado…