JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

CCT yasikitishwa changamoto zilizojitokeza kuelekea uchaguzi Serikali za Mitaa

Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia,Dar es Salaam Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imelaani vikali changamoto zilizojitokeza kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa ikiwemo kuenguliwa wagombea, vikwazo katika ukukuaji fomu na urejeshaji,mapingamizi ya rufaa, kupotea, kutekwa na kujeruhuwa kwa baadhi ya viongozi Tamko…

Israel yashambulia mji wa Damascus

Shirika la habari la serikali ya Syria linasema kuwa takribani watu 15 waliuawa wakati wa mashambulizi ya anga ya Israel kwenye majengo mawili ya makazi magharibi mwa Damascus. Kwa mujibu wa ripoti hii, moja ya majengo hayo yapo katika kitongoji…

Kuelekea Maadhimisho ya UKIMWI Duniani,Serikali yaeleza ushamiri wa VVU kitaifa kuwa ni asilimia 4.4

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma KUELEKEA maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani December Mosi mwaka huu, idadi ya watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi nchini inakadiriwa kuwa 1,540,000 kwa mwaka 2022/23 ukilinganisha na takribani watu 1,700,000 mwaka 2016/17 . Hayo yameelezwa leo…

TMDA yawashauri watoa huduma, wagonjwa kutoa taarifa za vifaa tiba visivyokidhi viwango

Na Stella Aron, JamhuriMedia, Dar es Salaan Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba Nchini (TMDA), Adam Fimbo amewataka waratibu wa Ufuatiliaji Usalama wa Dawa, Vifaa Tiba na Vitendanishi wameshauriwa kutoa taarifa za matukio na madhara ya vifaa…

Tabora United yapewa mil. 25/- kwa kuifunga Yanga, RC aahidi kuwapa mil.50/- wakiifunga Simba

Na Benny Kingson, JamhuriMedia, Tabora Milioni 25,600,000 zimetolewa kwa timu ya Tabora United ‘Nyuki wa Tabora – Wana Unyanyembe’ baada ya kuichapa Yanga mabao 3-1 wiki iliyopita kwenye mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini…