Rais Samia ateta na Rais wa Benki ya Dunia Ikulu Dar
JamhuriComments Off on Rais Samia ateta na Rais wa Benki ya Dunia Ikulu Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Benki ya Dunia Bw. Ajay Banga, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Januari, 2025.