Rais Dkt. Samia akutana na Rais wa Taasisi ya Rockefeller Dkt. Rajiv Sha
JamhuriComments Off on Rais Dkt. Samia akutana na Rais wa Taasisi ya Rockefeller Dkt. Rajiv Sha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Taasisi ya Rockefeller Dkt. Rajiv Sha Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Januari, 2025.