Author: Jamhuri
Maadhimisho Siku ya Homa ya Ini Duniani, Waziri Mhagama awataka wananchi kuutokomeza
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea. Waziri wa Afya Jenista Mhagama ameitaka Jamii na wadau hapa nchini kuungana na Serikali katika mapambano dhidi ya homa ya Ini ili kuweza kuutokomeza ugonjwa huo kama ilivyo dhamira ya Serikali. Akizungumza katika Maadhimisho siku…
TCCIA yawekeza katika mifumo ya kidijitali utoaji huduma ikiwemo cheti cha uasilia wa bidhaa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), kupitia Rais wake Bw. Vicent Minja, imefungua mlango wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mifumo ya utoaji huduma zake kidijitali ikiwemo utoaji wa Cheti cha Uasili wa…
Wapigakura mchague maendeleo, si rushwa
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Mwanza Jana Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanzisha rasmi mchakato wa uchaguzi katika ngazi ya wabunge na madiwani kwa kuteua majina ya wanachama wake watakaopiga goti mbele ya wajumbe kuomba kura. Mchujo utakaofanyika wiki ijayo unalenga kupata…
TANESCO kulipa milioni 1/- kwa watakaofichua wanaohujunu miundombinu – Msaki
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Wananchi wanasisitizwa kufichua wahalifu wanaohujumu miundombinu ya umeme (TANESCO),ikiwa ni pamoja na wanaoiba transfoma, nyaya na kuchezea mita, na yeyote atakayefichua watu hao atapatiwa donge nono kuanzia sh. 100,000 hadi sh. 1,000,000. Ofisa Uhusiano na…