Author: Jamhuri
Watanzania kunufaika na mashindano ya CHAN 2025, AFCON 2027
📌Mashindano yameipa heshima Tanzania kimataifa 📌Rais Samia kinara wa Michezo nchini Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Watanzania watanufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi na kijamii zitakazopatikana kuelekea mashindano ya CHAN 2025 na AFCON 2027. Hayo…
Watumishi wafurahishwa na uzinduzi Baraza la Wafanyakazi Malinyi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro UZINDUZI wa Baraza la Wafanyakazi la Wilaya ya Malinyi, Morogoro umewafurahisha watumishi wa serikali wilayani humo kwamba, wamepata sehemu ya kueleza changamoto na kutetea maslahi yao. Akifungua kikao cha uzinduzi wa baraza hilo leo tarehe…
DC Same aagiza kukamatwa kwa waliowapa mimba wanafunzi wanne
Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Same Kufuatia taarifa za ujauzito kwa wanafunzi wanne wa shule tofauti za msingi na sekondari katika kata za Kalemawe na Bendera, Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, ameagiza Jeshi la Polisi kuhakikisha wahusika wa matukio…
RITA yabaini wizi wa mali ya bilioni mbili msikiti wa Manyema
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Timu ya Uchunguzi iliyoundwa na Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kuchunguza mali ya Msikiti wa Manyema, Kariakoo Jijini Dar es Salaam imebaini ubadhilifu na upotevu wa mali na fedha kiasi cha…
CBE kuadhimisha miaka 60 ya kuanzishwa kwake
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam NAIBU Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) yanayotarajiwa kufanyika mwanzoni mwa wiki ijayo. Akizungumza na waandishi…
Kwaya ya watoto Westminster yatoa msaada Muhimbili
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ess Salaam Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), imepokea msaada wa mashine tatu za kisasa za uchunguzi na tiba kwa wagonjwa wenye changamoto mbalimbali za macho kutoka Shule ya Kwaya ya Watoto Westminster ya nchini Uingereza…