Author: Jamhuri
Rais Mwinyi azindua boti za kusafirisha wagonjwa
Msaidizi Mkurugenzi wa Benki ya Dunia Tanzania Melina Stefano akitoa salamu za Benki hio katika hafla ya Uzinduzi wa Boti za Kusafirisha Wagonjwa (Ambulance Boat)Verde Hotel Maruhubi Zanzibar.
Majaliwa: Tanzania kukuza na kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na EU
Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kukuza na kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji na nchi za Umoja wa Ulaya (EU). Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alisema hayo katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu ya Magogoni, Dar es Salaam jana alipozungumza na…
NCCR-Mageuzi hatushirikiani na chama chochote katika Uchaguzi wa 2025
Na Magrethy Katengu, JamhuriMediaDar es Salaam CHAMA cha NCCR Mageuzi kimetangaza kutoshirikiana na chama chochote kile cha siasa kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 na kusisitiza kusimama wenyewe kwenyek kumpata Rais, wabunge na madiwani. Chama hicho mwaka 2015 waliungana…
Dk Biteko ampongeza mwanafunzi aliyeelezea miradi ya umeme
Amuahidi kutembelea mradi wa Julius Nyerere Na Josephine Maxime, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mheshimiwa Dkt. Doto Biteko ameagiza mwanafunzi Mirabelle Msukari na wenzake wa Shule ya Msingi Sun Rise iliyopo Wilayani Kinondoni jijini…
Amuua mkewe, mtoto chanzo kikidaiwa ni wivu wa mapenzi Pwani
Na Mwamvua Mwinyi, JakhuriMedia, Pwani JESHI la Polisi mkoani Pwani, linamshikilia Tanganyika Masele (32), Mkazi wa Kisengile, Kitongoji cha Buduge, Kata ya Marui ,Wilayani Kisarawe, kwa kosa la mauaji ya mke wake (27) pamoja na mtoto mdogo, kwa kile kinachodaiwa…
Jaji aagiza Besigye arejeshwe gerezani
Mwanasiasa maarufu wa Uganda Dk Kizza Besigye amefikishwa katika Mahakama Kuu mjini Kampala kusikiliza ombi la mawakili wake la kumtaka achiliwe huru. Besigye ambaye amesusia chakula tangu wiki iliopita alionekana kudhoofika huku akiandamana na mshtakiwa mwenzake Haji Obeid Lutale. Awali…





