JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

HRW: Afrika iwakatae wahamiaji wa Marekani

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch, limesema mpango wa Marekani kuwapeleka wahamiaji katika nchi za Afrika unakiuka sheria ya haki ya kimataifa, na lazima ukataliwe. Katika siku za hivi karibuni, Eswatini, Ghana, Rwanda na Sudan Kusini…

Iran yakataa mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani

Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amekataa mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani kuujadili mpango wa nyuklia wa Iran. Hatua hiyo huenda ikaondoa matumaini ya mwisho ya kuzuia kurejesha vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran. Matamshi…

Trump alaani hatua za kulitambua taifa la Palestina

RAIS wa Marekani Donald Trump amelaani hatua zilizochukuliwa na mataifa ya Magharibi kulitambua taifa huru la Palestina, huku Marekani ikionekana kutengwa katika uungaji mkono wake mkubwa kwa mshirika wake Israel. Akihutubia Jumanne katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa…

Jenista Mhagama awaahidi wananchi Kata ya Ndongosi neema ya miundombinu ya barabara

Na Cresensia Kapinga, JamuhuriMedia, Songea Mgombea ubunge wa Jimbo la Peramiho kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jenista Mhagama amewaahaidi wananchi wa kata ya Ndongosi, kuwa Serikali itajenga barabara ya zege kwenye maeneo korofi yenye miinuko na utelezi ili kuhakikisha barabara…

Dk Mpango awavutia wawekezaji wa Marekani kuja kuwekeza Tanzania kupitia PPP

Na Mwandishi Maalum, New York Makamu wa Rais, Dkt Philip Mpango, ametoa mwito wa kuimarishwa kwa ushirikiano kati ya Serikali na wawekezaji binafsi, akisisitiza kuwa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP) ni nguzo muhimu ya kufungua fursa…

SUA wamuokoa mtoto wa tembo aliyenasa na mtego Pori la Kilombero

Timu ya wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) ikiongozwa na Dkt. Richard Samson, imefanikiwa kuokoa mtoto wa tembo aliyenaswa na mtego kando ya Mto Ruhidgi, katika Pori la Akiba la Kilombero, Wilaya ya Malinyi, Morogoro.  Mtego huo,…