Author: Jamhuri
Marekani, Urusi zakubaliana kumaliza vita Ukraine
Viogozi wa Marekani na Urusi waliokutana Jumanne mjini Riyadh, Saudia Arabia wamekubaliana kuanzisha mchakato wa amani katika mzozo wa Ukraine licha ya Kiev na washirika wake wa Ulaya kutoalikwa kwenye mazungumzo hayo. Maafisa wa ngazi za juu wa Marekani na…
Papa agundulika na ugonjwa wa homa ya mapafu
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amegundulika ana ugonjwa wa homa ya mapafu katika mapafu yake mawili na hali yake sio nzuri. Papa mwenye umri wa miaka 88, amekuwa akisumbuliwa na maambukizi ya mfumo wa upumuaji kwa zaidi ya…
Kiwango cha joto kuendelea kupanda kwa miezi mitatu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Utabiri wa hali ya hewa katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), umeonesha kuendelea kupanda kwa kiwango cha joto kwa miezi mitatu ya Januari, Februari na Machi 2025 pamoja na ukame. Mamlaka…
Trump aikosoa Ukraine baada ya mazungumzo na Urusi
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameikosoa Ukraine kufuatia kauli ya Rais Volodymyr Zelensky, aliyeeleza kushangazwa na kutohusishwa kwa nchi yake katika mazungumzo ya amani yaliyofanyika Saudi Arabia. Mazungumzo hayo yalilenga kutafuta suluhisho la kumaliza vita vya Ukraine vilivyoanza karibu miaka…
Dk Diallo: Nunueni pembejeo mapema baada ya kuuza mazao
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Chato Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Dkt. Anthony Diallo amewataka wakulima wa pamba kununua mbolea pindi wanapouza mazao yao ili kuwawezesha kuzitumia wakati msimu wa kilimo unapowadia. Amesema ni vyema…
Waziri Lukuvi akutana na wadau sekta binafsi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mheshimiwa William Lukuvi amekutana na kufanya mazungumzo na wadau wa sekta binafsi katika kikao kilichoratibiwa na Baraza la Taifa…





