Author: Jamhuri
Wakazi Same watakiwa kutunza na kulinda miundombinu inayowekezwa na Serikali
Waziri wa Afya Jenista Mhagama amewataka wananchi wa Wilaya ya Same kutambua na kumiliki mafanikio ya Serikali kwa kutunza na kulinda miundimbinu inayowekezwa kwenye maeneo yao. Pia kujenga tabia ya kuenzi mabadiliko makubwa ya miundombinu ya huduma na uchumi ambayo…
Kundo : Wakazi 180,000 kunufaika na miradi ya maji 35 Pwani
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo WAKALA wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) mkoani Pwani unaendelea kutekeleza miradi ya maji 35, ambayo ikikamilika itanufaisha wakazi 180,000. Hatua hiyo inatarajiwa kuongeza upatikanaji wa maji safi na salama kutoka asilimia 80.3…
Mashambulizi ya Israel yaua watu 19 Gaza
Takribani Wapalestina 19, wakiwemo watoto wanane, wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel kusini mwa Gaza usiku kucha, wanasema maafisa wa afya wa eneo hilo. Mama mmoja na watoto wake wanne waliripotiwa kuuawa katika kambi ya mahema ya watu waliokimbia…
Tanzania mwenyeji mkutano wa kikanda wa Baraza la viwanja vya ndege Afrika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha TANZANIA imechaguliwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kikanda wa baraza la viwanja vya ndege Afrika (ACI) na maonesho ya wadau utakaofanyika April mwaka huu mkoani Arusha na kuambatana na mkutano wa 73 wa Bodi ya…
Tanzania, Uingereza kushirikiana kuendeleza madini mkakati
Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI ya Tanzania imeihakikishia Serikali ya Uingereza kuendeleza ushirikiano kwenye sekta ya madini hususani katika kujengea uwezo watu wake, kubadilishana uzoefu, uongezaji thamani madini na kuwekeza kwenye kufanya tafiti mbalimbali ili kukuza sekta ya…