Author: Jamhuri
Ufaransa kuitambua Palestina kama taifa huru
Ufaransa na Saudi Arabia zitaongoza mkutano wa kilele wa wakuu wa nchi na serikali katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kujaribu kufufua matumaini ya suluhisho la mataifa mawili ambayo yalikuwa yamekwama kwa muda mrefu. Mkutano huo unafanyika mjini New…
Riek Machar afikishwa mahakamani Sudan Kusini
Kiongozi wa upinzani aliyewahi uwa makamu wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar amefikishwa mahakamani Jumatatu 22.09.2025. Machar anakabiliwa na mashtaka kadhaa yakiwemo uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhaini. Makamu huyo wa zamani wa Rais Anatuhumiwa pia kwa kuamuru mashambulizi…
Urusi, Ukraine zashambuliana usiku kucha
Ukraine na Urusi zimetupiana lawama baada ya mashambulizi makali kati ya pande hizo mbili usiku wa kuamkia Jumatatu. Mkuu wa eneo la Crimea lililo chini ya Urusi Sergey Aksyonov amesema watu watatu wameuawa na wengine 16 wamejeruhiwa kutokana na mashambulizi…
Kim Jong Un: Korea Kaskazini haikwepi mazungumzo na Trump
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesema hana sababu ya kuyakwepa mazungumzo na Marekani kama nchi hiyo haitomshinikiza kuachana na silaha za Nyuklia. Akizungumza katika hotuba yake mbele ya bunge Jumapili 21.09.2025, Kim alisisitiza kuwa kamwe hatoachana na silaha…
Majaliwa : Serikali inatambua mchango wa taasisi za dini katika kukuza elimu na maadili
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kushirikiana na taasisi za dini katika kuimarisha elimu na maadili nchini, akisisitiza kuwa mchango wao ni nguzo muhimu ya mshikamano na maendeleo ya Taifa. Akizungumza jijini…
Waziri Mhagama atimiza ndoto za Rais Samia kuhusu utalii tiba
…………..Madaktari bingwa hospitali tano kwenda nchini Comoro kutoa matibabu Na Mwandishi Wetu MADAKTARI bingwa wa hospitali tano nchini wanatarajiwa kufanya kambi ya wiki moja nchini Comoro ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Samia Suluhu Hassan alilotoa wakati wa ziara…





