JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kesi ya DRC dhidi ya Rwanda kusikilizwa Mahakama ya Haki za Binadamu Arusha

Kesi iliyofunguliwa na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo dhidi ya Rwanda katika Mahakama ya Afrika ya haki za watu na zile za Binadamu inasikilizwa leo jijini Arusha – huku Kongo ikiishitaki Rwanda kwa kukiuka mipaka ya kimamlaka ya Kongo, kuchochea…

NFRA yajiandaa kukabiliana na upungufu wa sukari nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakala wa Taifa wa Uhifadhi wa Chakula (NFRA) umesema umejipanga vizuri kukabiliana na upungufu wa sukari hapa nchini endapo kutajitokeza upungufu wa bidhaa hiyo kwani Serikali imeshatoa kibali kwa wakala kuagiza na kusambaza…

Polisi Pwani yamsaka Abdallah kwa tuhuma ya kumuua mzazi mwenzake

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamsaka Abdallah Mohammed (40), fundi friji na mkazi wa Mataya, Kata ya Kiromo, Wilaya ya Bagamoyo, kwa tuhuma za mauaji ya mzazi mwenzake Naomi Mwakajengele ( Anangisye) miaka 28,…

Rig za STAMICO zawawezesha wachimbaji kupata taarifa za kina

Zinatolewa bure, mnufaika analazimika kulipia gharama za uchorongaji Wanufaika waeleza zilivyowasaidia, zina uwezo wa kuchimba Mita 400 chini ya ardhi Mtaalam asisitiza umuhimu wa kubaini uwepo wa madini kabla ya kuchimba Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lwamgasa Dhamira ya Serikali ya…

Rwanda hajaambiwa ukweli wote DRC

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita Tanzania imekuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mwenyeji wa mkutano huu, umeongozwa…

Tume yatoa neno kwa waendesha vifaa vya BVR Tanga, Pwani

Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Tanga Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometrikikutoa huduma bora kwa wananchi watakaojitokeza katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linalotaraji kuanza Februari 13 hadi…