Author: Jamhuri
Dk Biteko ahaidi neema zaidi Bukombe miaka mitano ijayo
📌 Ataja miradi lukuki iliyotekelezwa Bukombe 📌 Oktoba 29 Katome kumpa kura zote Rais Samia Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Doto Mashaka Biteko amesema endapo wananchi wa Jimbo hilo watamchagua tena kuwa mbunge…
Dk Tulia amuombea Samia kura kwa machifu
Na Ruja Masewa, JamhuriMedia, Mbeya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na aliyekuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, amemuombea kura mgombea wa urais Samia Suluhu Hassan, kwa Machifu wa Kisafa…
TMA yatoa utabiri wa mvua za Vuli, yawashauri wananchi kuchukua tahadhari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa msimu wa mvua za Vuli kwa kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2025, ikionya kuwa mvua zinatarajiwa kuwa za Wastani hadi Chini ya Wastani…
CCM tunasogeza huduma kwa wananchi sio maneno – Dk Biteko
📌Ahimiza wananchi kupiga kura za kishindo kwa Rais Samia Mgombea wa Ubunge Jimbo la Bukombe, Ndugu Doto Mashaka Biteko amesema kuwa wananchi wanahitaji huduma na maendeleo yanayotokana na utekelezaji wa mipango thabiti na sio kwa maneno yasiyotekelezeka. Dkt. Biteko amesema…
Samia aahidi kuchapa kazi kwa kasi ileile
Na Mwandishi,JamhuriMedia, Uyui Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema akipewa ridhaa ya kuongoza atafanya kazi kwae kasi ilele. Akizungumza wakati wa mkutano wa kampeni katika Kata ya Ilolanghulu wilayani Uyui mkoani Tabora, leo Septemba 11,…
Bashiru ataja sababu tatu CCM kushinda
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Nzega Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mratibu wa kampeni za mgombea urais kupitia chama hicho, Bashiru Ally,ametaja sababu tatu za chama hicho kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Amesema chama itaibuka na…