Jamhuri

Dkt.Mpango aitwisha mzigo UWT Pwani

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Isdor Mpango ,amemuagiza Mwenyekiti wa UWT Mkoani Pwani Zainabu Vullu kuhakikisha anavunja makundi yanayoendelea ndani ya Jumuiya hiyo, hali inayosababisha uwepo wa chuki na hata kutofanikisha shughuli za Jumuiya ipasavyo….

Read More

Serikali yataja mambo sita ya kuondoa tatizo la ajira nchini

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,Patrobas Katambi, ametaja mambo sita yanayofanywa na serikali ili kuondokana na tatizo la ajira nchini. Katambi ameyasema hayo leo Februari 3, 2023 bungeni alipokuwa akijibu swali la msingi la Mbunge wa Kisesa,Luhaga Mpina. Katika swali lake, Mbunge huyo amehoji ni vijana…

Read More