Author: Jamhuri
Wanufaika wa mitaji ya Cookfund wahimizwa kuwekeza katika mitungi midogo ya gesi
๐ Ni mitungi ya kilo tatu au chini ya kilo tatu ๐ Lengo ni kuwezesha wananchi wa kipato cha chini kumudu gharama ๐ Wasisitizwa matumizi ya Mita janja (smart meters) ili kuwezesha wananchi kununua gesi kama LUKU. Wanufaika wa mitaji…
WorldVeg, AID-I watoa mafunzo kwa wakulima 62,000 nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Zaidi ya wakulima 62,000 wadogo wadogo nchini wamenufaika na mafunzo ya kilimo cha mbogamboga na matunda yaliyotolewa na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti na Uendelezaji wa Kilimo cha Mbogamboga โ Kanda ya Mashariki na Kusini…
Macron ashinikizwa kujiuzulu kufuatia mgogoro wa kisiasa
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anakabiliwa na shinikizo kubwa, hata kutoka kwa washirika wake wa karibu, kutafuta suluhisho la haraka kwa mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini mwake. Katika hali ya kushangaza, รdouard Philippe, Waziri Mkuu wa kwanza wa Macron, amemtaka…
Zelensky: Urusi inatumia droni kuleta machafuko Ulaya
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameituhumu Urusi kwa kutaka kuleta machafuko barani Ulaya kwa kutumia droni kwa ajili ya hujuma na kuvuruga hali ya usalama. Katika hotuba yake ya jioni ya Jumanne kwa njia ya video, Zelensky amesema serikali ya…
Mwanza wajipanga kumpokea mgombea urais wa CCM Dk Samia
Maelfu ya wananchi wa Mwanza wamempokea Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, na kumpa salamu zao ya kwamba wamejipanga vema na wapo tayari kumpokea Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Dkt. ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ ๐๐ฎ๐๐๐ฎ๐ป…