JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Samia aagiza CCM kuvunja makundi

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media-Uyui Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Samia Suluhu Hassan amewataka wafuasi wa Chama kuvunja makundi mara ili waende kwenye uchaguzi mkuu wakiwa wa moja. Rais ametoa kauli hiyo katika Kijiji cha Ilolangula wilayani Uyui mkoani…

NMB yakabidhi jezi za milioni 36 kwa SHIMIWI

Benki ya NMB imekabidhi jezi zenye thamani ya Shilingi milioni 36 kwa Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI), ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za kukuza michezo miongoni mwa watumishi wa umma nchini. Hafla ya…

Viongozi CCM tuhimize wananchi kupiga kura – Dk Biteko

Mgombea Ubunge Jimbo la Bukombe, Ndugu Doto Mashaka Biteko amewahimiza viongozi wa Chama cha Mapinduzi ngazi Vitongoji, Vijiji na Kata kuhamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu ujao utakaofanyika Oktoba 29, mwaka huu. Dkt. Biteko amesema hayo Septemba 10,…

WHO yaapa kubakia Gaza

Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema wafanyakazi wake wataendelea kubakia kwenye Jiji la Gaza licha ya miito ya Jeshi la Israel kuwataka watu wahame kwenye kitovu hicho cha Ukanda wa Gaza. Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus, alisema juzi…

Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Mataifa waanza

Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unaendelea jijini New York ambapo viongozi mbalimbali wa dunia wanahudhuria na wanatarajiwa kuhutubia katika kikao hicho cha 80 kinachogubikwa na vita vya Gaza na Ukraine. Kikao hicho Baraza Kuu la Umoja la…

Chumi : Afrika kupatiwa fedha za mabadiliko ya tabia nchi

Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Cosato Chumi amesisitiza kuwa si sawa kwa Afrika kushurutisha nchi zilizoendelea kutoa fedha za mabadiliko ya tabianchi, kwani ni wajibu wao wa msingi katika kulinda…