JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mtanzania ateuliwa kuwa meneja wa Bolt Afrika Kusini

Na Mwandishi Wetu MILU Kipimo, raia wa Tanzania, ameteuliwa kuwa Meneja wa Nchi (Country Manager) wa Bolt Business nchini Afrika Kusini (ZA). Kabla ya uteuzi huu, Milu alikuwa Meneja Mkuu wa Bolt kwa Tanzania, Tunisia na Ghana, na sasa anaungana…

Kweli ni Simba Day, furaha ya ushindi 2-0

Licha ya mashabiki wa Simba kupata furaha ya mpira, lakini tamasha la leo pia lilikuwa na burudani mbalimbali za wasanii tofauti, ambao waliwapa raha mashabiki . Tamasha la Simba Day 2025 lilihitimishwa kwa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa kati Wekundu wa…

Serikali yasisitiza ushirikiano kutekeleza programu ya kizazi chenye usawa

Na WMJJWM – Morogoro Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Felista Mdemu amesema dhamira ya Serikali ya kuhakikisha ahadi zilizotolewa na Tanzania kwenye Jukwaa la Kizazi Chenye Usawa la mwaka 2021 zinafanikishwa,…

Bashe aomba mkoa mpya

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media, Nzega Mgombea ubunge Jimbo la Nzega Mjini Hussein Bashe, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, kuzingatia ombi la muda mrefu la kuugawa Mkoa wa Tabora. Amesema hatua hiyo inatokana na wananchi wake kutembea umbali wa kilomita…

Dk Biteko ahimiza kura za kutosha Busonzo

📌 Wananchi wa Busonzo wanufaika na miradi ya uhakika ya umeme, maji, elimu 📌 CCM yaahidi maendeleo Busonzo Mgombea wa Ubunge Jimbo la Bukombe, Ndugu Doto Mashaka Biteko amewahimiza wananchi wa Kata ya Busonzo wilayani Bukombe mkoani Geita kujitokeza kwa…