Author: Jamhuri
Serikali yakaza udhibiti wa mbegu feki kulinda wakulima
Na Dotto Kwilasa, Dodoma Serikali imewataka viongozi wa mikoa na wilaya, hususan maeneo ya mipakani, kuongeza usimamizi wa mbegu zinazoingia nchini ili kuzuia kuenea kwa mbegu zisizo na ubora ambazo zimekuwa zikichangia hasara kwa wakulima na kudhoofisha sekta ya kilimo….
Hakuna nyongeza muda kwa mkandarasi wa ujenzi barabara Kahama kupitia mradi wa TACTIC – Prof. Shemdoe
Na OWM – TAMISEMI, Kahama Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali haitomuongezea muda Mkandarasi M/s China Civil Engineering Construction Corporation wa kukamilisha miradi ya ujenzi…
Vijana 60,000 kupata mafunzo ya uzalendo ya JKT mwaka huu
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)limetangaza ongezeko kubwa la nafasi za vijana watakaopatiwa mafunzo ya uzalendo na stadi za maisha mwaka huu, ambapo wahitimu wa kidato cha sita wapatao 60,000 wanatarajiwa kuripoti katika makambi mbalimbali nchini…
TMA, EMEDO waja na tuzo za kuhamasisha elimu ya hali ya hewa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kwa kushirikiana na shirika la Usimamizi wa Mazingira na Maendeleo (EMEDO),imetangaza rasmi ushirikiano wa Tuzo za Waandishi wa Habari zinazolenga kuhamasisha kutambua mchango wa vyombo vya…
Mtwara yatanua fursa za madini, mapato ya Serikali yapanda mara nne
📍Mtwara Mkoa wa Mtwara umeendelea kujidhihirisha kama kitovu muhimu cha uwekezaji wa madini nchini kutokana na uwepo wa rasilimali nyingi za madini ya viwandani, vito na madini mkakati, huku mapato ya Serikali kupitia sekta hiyo yakiongezeka kwa kasi katika kipindi…





