Author: Jamhuri
Dk Nchimbi afanya mazungumzo na Jumuiya ya Maridhiano na amani Katavi
MGOMBEA mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Jumuiya ya Mariadhiano na Amani Tanzania Mkoa wa Katavi…
Rvuma yaombea amani kuelekea uchaguzi mkuu
Na Cresensia Kapinga, Jamuhuri ,Songea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amewaongoza viongozi Wadini, Chama na Serikali,wazee na wananchi wa Mkoa wa Ruvuma katika maombi maalum ya kuliombea Taifa la Tanzania amani kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa…
RC Pwani atoa onyo matumizi mabaya ya fedha za lishe
MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ameziagiza wilaya na halmashauri mkoani humo kuhakikisha zinadhibiti matumizi batili ya fedha za mpango wa lishe na badala yake zitumike kwa matumizi yaliyokusudiwa. Aidha, amezitaka mamlaka hizo kutoa fedha hizo kwa wakati na…
Ujenzi wa Kampasi ya UDOM Njombe waanza kwa kasi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma UONGOZI wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ukiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Lughano Kusiluka, leo Jumanne Septemba 09, 2025, umetembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kampasi ya UDOM mkoani Njombe. Katika ziara…
Kongamano la Kitaifa la ufuatiliaji, na tathmini kukutanisha washiriki 1000
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza WASHIRIKI takribani 1,000, wanatarajiwa kushiriki katika kongamano la nne la Kitaifa la Ufuatiliaji, Tathmini na Kujifunza(Tanzania Monitoring, Evaluation and Learning Week). Kongamano hilo litawakutanisha wadau mbalimbali wa maendeleo kutoka ndani na nje ya nchi, wakiwemo…
Kumchagua Rais Samia ni kuchagua maendeleo – Dk Biteko
📌Awahimiza wananchi wa Namonge kujitokeza kupiga kura Oktoba 29 📌 Asema shilingi bilioni 200 kukopeshwa kwa vijana Mgombea wa Ubunge Jimbo la Bukombe, Ndugu Doto Mashaka Biteko amewaasa wananchi wa Kata ya Namonge, kujitokeza kwa wingi tarehe 29 Oktoba kumpigia…