Author: Jamhuri
Kesi ya kumuondoa madarakani rais wa Korea Kusini aliyesimamishwa kazi yaanza kusikilizwa
Mahakama ya kikatiba ya Korea Kusini imefanya kikao chake cha kwanza kuamua iwapo Rais aliyesimamishwa kazi Yoon Suk Yeol aondolewe madarakani baada ya jaribio lake la kushtukiza la kutekeleza sheria ya kijeshi mwezi uliopita. Hata hivyo kikao hicho kiliisha ndani…
Wanaume wa Kihindu waliopakwa majivu waongoza ibada ya kuoga India
Wanaume watakatifu wa Kihindu waliopakwa majivu waliingia kwenye mto mtakatifu zaidi wa India wa Ganges alfajiri ya siku ya kwanza ambayo ni muhimu katika ibada ya kuoga ya sikukuu ya Kumbh Mela kwenye Jiji la (askazini la Prayagraj. Waumi hao…
Lema : Sitagombea ubunge Arusha 2025, atakayegombea nitamsaidia
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema, ameweka wazi kuwa kuna watu walienda kwa mama yake mzazi kumtaka azungumze nae ili amuunge mkono kaka yake Freeman…
Lema atangaza kumuunga mkono Lissu, amshauri Mbowe kukaa pembeni
Na Isri Mohamed, JamhiriMedia, Dar es Salaam Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA), Godbless Lema, ametangaza rasmi kumuunga mkono Tundu Lissu anayegombea nafasi ya mwenyekiti wa chama hicho na John Heche anayegombea makamu…
Lori laua 11 waliokwenda kutoa msaada kwenye ajali Segera mkoani Tanga
Na Ashrack Miraji,JamhuriMedia, Tanga WATU 11 wamefariki dunia katika Kijiji cha Chang’ombe kilichopo Kata ya Segera wilayani Handeni mkoani Tanga baada ya kugongwa na lori lililokuwa limebeba saruji baada ya kupoteza uelekeo wakati walipojitokeza barabarani walipokuwa wakishanga ajali ya gari…
Rasimu ya mwisho ya kusitisha vita vya Gaza yatolewa
Wapatanishi wa mzozo wa Israel na Hamas, ambao ni Marekani, Qatar na Misri wametoa rasimu ya mwisho ya makubaliano ya kuvimaliza vita huko Gaza leo Jumatatu. Hayo yamesemwa na maafisa kwa shirika la habari la Reuters. Mazungumzo hayo yaliozusha mjadala…





