Author: Jamhuri
REA kusambaza umeme vitongoji 135 mkoani Pwani, Kunenge amshukuru Rais Samia
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) umeanza usambazaji wa umeme katika vitongoji awamu ya pili (HEP II) ambapo utapeleka umeme kwenye vitongoji 135 kwenye majimbo tisa, mkoani Pwani kwa gharama ya sh.bilioni 14.983.7. Mradi huu utafikia…
Bilioni 15 kusambaza umeme vitongojini Pwani
📌VITONGOJI 135 NDANI YA MAJIMBO 9 KUNUFAIKA 📌RC PWANI AMSHUKURU RAIS SAMIA Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwanni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa Shilingi…
Ruto ataka dunia iwekeze kwenye nishati salama Afrika
Viongozi wa dunia wametoa wito wa uwekezaji mkubwa zaidi kwenye nishati jadidifu ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Akizungumza kwenye mkutano wa kilele wa nishati jadidifu siku ya Jumanne (Septemba 24), Rais William Ruto wa Kenya alisema ulimwengu…
Ulimwengu wataka Mashariki ya Kati isitumbukie vitani
Viongozi mbalimbali wa dunia wamehutubia mkutano wa Hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa wakiutahadharisha ulimwengu kutokana na kuanza kutanuka kwa vita vya Mashariki ya Kati. Mbali na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Gutteres, Rais wa Marekani, Joe Biden,…
Serikali ya Tanzania kushiriki Kongamano la Kimataifa la Usafirishaji nchini China
Waziri wa Uchukuzi , Profesa Makame Mnyaa Mbarawa ameshiriki katika Kongamano la Kimataifa la Usafirishaji Endelevu (2024 Global Sustainable Transport Forum). Kongamano hilo ambalo limekutanisha Mawaziri na Wadau wa masuala usafiri kutoka Mataifa mbalimbali Duniani, limeandaliwa na kuratibiwa na Serikali…