Author: Jamhuri
Rais Samia kuwasili Singida
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMddia, Dodoma MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan anatarajia kuanza kampeni zake mkoani Singida Septamba 9, mwaka huu. Kuanza kampeni zake mkoani Singida kumekuja baada ya kumaliza kampeni hizo katika mikoa ya Iringa,…
Majaliwa azindua kampeni za ubunge jimboni Mchinga
*Asema Rais Samia anatosha, aomba wananchi kumchagua kwa kishindo*Asema Salma Kikwete ana uwezo na dhamira ya kuwatumikia wananchi wake Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amezindua kampeni za Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete,…
Zaidi ya wanafunzi 100 kundi la pili wakabidhiwa VISA na vitabu vya muongozo na GEL
Na Mwandishi Wetu KUNDI la pili la wanafunzi 100 wanatarajia kuondoka wiki ijayo kusoma kwenye vyuo vikuu mbalimbali nchi za nje mwaka huu wa masomo kupitia Wakala wa Vyuo Vikuu Nje ya nchi Global Education Link (GEL). Wanafunzi hao waliagwa…
Waziri Mkuu akutana na balozi wa Tanzania nchini Japan
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka balozi wa Tanzania Nchini Japan Anderson Mutatembwa kusimamia utekelezaji wa sera ya mambo ya nje ikiwa ni pamoja na kudumisha diplomasia ya uchumi kwa kuhamasisha uwekezaji na upatikanaji wa masoko wa bidhaa za ndani. “Ni jukumu lako kwenda kutangaza fursa zilizopo hapa nchini,…
Waziri Mkuu wa Japan atangaza kujiuzulu
Waziri Mkuu wa Japan Shigeru Ishiba ametangaza kujiuzulu Jumapili baada ya chini ya mwaka mmoja madarakani. Tangazo lake limekuja baada ya chama chake cha Liberal Democratic Party (LDP), kupoteza wingi wa viti bungeni. Ishiba, mwenye miaka 68, alisema ataendelea kushika…