Author: Jamhuri
Uvimbe uliomtesa kwa miaka 10 watolewa na mabingwa wa Rais Samia
Madaktari Bingwa wa Samia Suluhu Hassan wamefanikiwa kumtoa uvimbe wenye uzito wa gramu 800 kwenye kizazi mgonjwa alioishi nao kwa zaidi ya miaka 10. Hayo yamebainishwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya wanawake na uzazi, Dkt. Emmanuel Imani Ngadaya kutoka…
TASAC yakabidhiwa boti na Ofisi ya Waziri Mkuu kuimarisha ulinzi wa bahari
Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu imelitaka Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kushirikiana na taasisi nyingine za kisekta kuwa na mkakati wa matumizi ya boti katika kukabiliana na vitendo vya kihalifu…
TAEC kuwa mlezi wa programu maalum ya diploma masomo ya teknolojia ya nyuklia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha MKURUGENZI Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) Prof. Najat Kassim Mohammed amesema taasisi hiyo itakuwa mlezi wa programu maalumu ya diploma ya masomo ya teknolojia ya nyuklia itakayoanzishwa na chuo cha ufundi…
Lukuvi : Rais Samia hana deni huduma ya maji Ubungo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi ametembelea Mradi wa Maji Mshikamano uliopo Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo katika ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo…
Mashindano ya kuogelea Afrika kufanyika Z’bar
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar Salaam Chama cha Mchezo wa Kuogelea Africa (Africa aquatics) kwa kushirikiana na mchezo wa kuogelea nchini vitaendesha mashindano ya wazi kwa mchezo wa kuogelea yanayotarajiwa kufanyioa visiwani Zanzibar. Mashindano hayo yanafanyika kwa mara ya kwanza…
Waziri Bashe awataka wakulima, wafugaji kuishi kwa amani
📌NIRC,Songea Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amewaasa wafugaji wa jamii ya Wasukuma wanaoishi katika kata ya Ndalila Wilayani Songea, kuhakikisha kuwa wanaishi kwa amani na wakulima wa jamii zingine wilayani humo “Nimewaletea salamu kutoka kwa rais Dkt. Samia Suluhu Hassan…