JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mgombea ubunge Ubungo kwa tiketi ya ACT Wazalendo aahahidi neema

Wafuasi wa Chama cha ACT Wazalendo wamejitokeza kwa wingi katika viwanja vya Manzese Bakresa, kushuhudia uzinduzi wa kampeni za ubunge wa mgombea wa Jimbo la Ubungo, Queen Julieth Lugembe. Katika uzinduzi huo mgombea Queen Julieth alizungumza na wananchi wa jimbo…

NIRC yaridhishwa na kasi ya ujenzi wa skimu ya Makwale – Kyela

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kyela Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) kupitia Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji wa Miundombinu, Mhandisi Leopard Runji, imefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ikiwemo ujenzi wa skimu ya Umwagiliaji Makwale, iliyopo Kyela mkoani Mbeya….

Dk Nchimbi apokea barua ya kazi wa Bukoba mjini mwenye ulemavu wa miguu

Mgombea mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akimsikiliza Mlemavu wa Miguu,Amos Kalungula. Dk.Nchimbi yuko mkoani Kagera ambako amewasili tangu jana na leo Septemba…

Mawe yaliyoko njia ya mkojo yavunjwa kwa teknolojia salama

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam HOSPITALI ya Mfumo wa Mkojo na Uzazi ya MDM ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam imeandaa kambi maalum endelevu kuanzia tarehe 8 Jumatatu kwaajili ya matibabu ya maradhi ya mfumo wa mkojo…

Dk Nchimbi atumia helkopta kusaka kura Kagera

Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, leo Septemba 7, 2025, ameruka kwa helikopta akizisaka kura za kishindo za CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu. Balozi…