JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Dk Biteko asema mgombea mwenza ni chaguo sahihi na mwalimu wa wengi

📌 Asema Dkt. Nchimbi ni mtu mwema anayejua shida za watu 📌 Mamia wajitokeza Kampeni za CCM Katoro 📌 Asema Katoro hawana mbambamba, awaomba Oktoba kuchagua wagombea wa CCM Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Bukombe, Ndugu Doto Mashaka…

Nchimbi ndani ya Katoro, Geita awanadi wagombea

Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwahutubia wananchi wa kata ya Katoro , leo Jumamosi Septemba 6,2025 Wilaya ya Geita, Mkoani Geita . Dkt Nchimbi anaendelea na mikutano yake ya kampeni mkoani…

Polisi yamsaka mwanamke aliyemfanyia ukatili mtoto

Jeshi la Polisi limeona picha mjongeo inayosambaa katika mitandao ya kijamii akionekana mwanamke mmoja akimhamasisha na kumnywesha pombe mtoto mdogo jambo ambalo ni ukatili kwa mtoto na ni kinyume na sheria za nchi. Sheria hizo ni pamoja na Sheria ya…

Rais Samia aahidi kuifungua kiuchumi Dodoma, Moro na Songwe

*Kampeni zake zagusa maelfu ya wananchi Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kudhihirisha kwa vitendo namna ambavyo kinakubalika nchini ambapo maelfu ya wananchi wameendelea kujitokeza katika mikutano yake ya kampeni inayoendelea kufanyika maeneo mbalimbali nchini. Hali hiyo ni…

Mahakama Uvinza yamtia hatiani mtendaji kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa

Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Uvinza, Mheshimiwa Misana Majura, mnamo Septemba 4, 2025, alitoa hukumu katika shauri la jinai namba 4719/2025, ambapo Jamhuri ilimshtaki Bw. Jafari Hamisi Fadhili kwa makosa mawili ya kuomba na kupokea rushwa kinyume na…