Author: Jamhuri
Acheni kufokea watumishi wenzenu – Simbacha
Na Lusungu Helela, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene ameonesha kukerwa na baadhi ya Wakurugenzi na Wakuu wa Taasisi za Serikali wenye tabia ya kuwafokea Watumishi …
Wanafunzi Hazina watia fora siku ya UN
Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Dar es Salaam WANAFUNZI wa shule ya Kimataifa ya Msingi Hazina ya Magomeni jijini Dar es Salaam, wameonyesha umahiri mkubwa kwenye siku ya Umoja wa Mataifa (UN) kwa kutoa mada zilizowavutia wageni waalikwa. Wanafunzi hao walialikwa…
TPA yatumia maonesho ya Tamasha la Biashara na Utalii kunadi fursa za uwekezaji katika bandari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetumia fursa ya maonesho ya Tamasha la Biashara na Utalii Kusini kunadi fursa za uwekezaji katika bandari zake hapa nchini. Maonesho hayo, yaliyofunguliwa rasmi na Spika wa Bunge…
Milango ya Rais Samia iko wazi anakaribishwa viongozi wa dini – Dk Biteko
๐ Dkt. Biteko Amwakilisha Rais Samia Jubilei ya Miaka 50 ya AICT Magomeni ๐Rais Samia Achangia Milioni 100 Ujenzi wa Kanisa ๐Awahimiza Waaumini Kujitoa Kujenga Kanisa ๐ Atoa Wito kwa Viongozi wa Dini Kutimiza Kusudi la Mungu ๐ Awahimiza Watanzania…
Mapambano dhidi ya rushwa si ya TAKUKURU pekee – Majaliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa mapambano dhidi ya rushwa si jukumu la TAKUKURU pekee bali kila Mtanzania anapaswa kushiriki kikamilifu kusimamia maadili na kupinga vitendo vya rushwa. Amesema kuwa rushwa inaweza kusababisha kutofikiwa kwa jukumu la Serikali la kuleta…
Vivuko Mafia wakwama siku 18 sasa, Serikali kuunda timu ili kupata suluhu ya kudumu
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Uchukuzi na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa itaunda Timu Maalum itakayoshughulikia kupata suluhu ya kudumu ya vivuko vya TNS Songosongo na Mv Kilindoni ambavyo havifanyikazi…