JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mchezaji Shawky afariki uwanjani

Na Isri Mohamed Mchezaji wa klabu ya Kafr El Sheikh SC inayoshiriki ligi daraja la pili nchini Misri, Mohamed Shawky amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla uwanjani wakiwa kwenye mechi ya ligi dhidi ya Kazazeen iliyochezwa Novemba 14, 2024. Madaktari…

Man City watenga mabilioni ya kumbakisha Haaland

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Uingereza Manchester City, baada ya kufanikiwa kumbakiza kocha wao Pep Guardiaola kwa msimu mmoja zaidi, Sasa wana nia ya kumbakiza mshambuliaji wao Erling Haaland (24), kwa misimu mingine mitano. Manchester City wamempa ofa ya…

Msimu wa sita wa Tamasha la Ladies First lazinduliwa Dar

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ujio wa msimu wa sita wa Tamasha la michezo la Ladies First umetambulishwa jana jijini Dar es Salaam. Tamasha la Ladies First ni tukio la kimichezo lilioanzishwa kwa lengo la kuimarisha ushiriki wa…

Waziri Mkuu Majaliwa apongeza mchango wa sekta ya madini nchini

Na Richard Mrusha, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameipongeza Wizara ya Madini kwa juhudi mbalimbali inazofanya za kuiendeleza Sekta ya Madini kufikia asilimia 9.0 katika kuchangia kwenye Pato la Taifa huku…

BoT yafungia majukwaa , APP zinazotoa mikopo mitandaoni

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa taarifa ikielezea kwamba imebaini kuwepo kwa majukwaa na programu tumizi zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila kuwa na leseni au idhini kutoka kwa Benki Kuu.  Hali hii inahatarisha usalama wa wateja na ustawi…

Tanzania katika mikakati kukabili uvunaji haramu misitu

Tanzania  imetoa wito kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuunganisha mifumo ya teknolojia katika ufuatiliaji na usafirishaji wa mazao ya misitu ili kupunguza tatizo la uvunaji na usafirishaji haramu.  Pia, inatarajia kushirikiana na wadau wa maendeleo ikiwemo Shirika la…