Author: Jamhuri
Serikali yatambua kipaji cha mtoto mwenye uwezo wa kujenga barabara na madaraja, yaahidi kumwendeleza
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imetambua kipaji adimu cha mtoto Riziwani Martin Asheri, mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa Kibaigwa mkoani Dodoma, ambaye ameonyesha uwezo wa kipekee katika kujenga barabara na madaraja, na kuahidi kumwendeleza…
Bilioni 161. 3 kuimarisha huduma za afya nchini
NA WAF – Dar es Salaam Serikali imeazimia kutumia Shilingi Bilioni 161. 3 za Mfuko wa pamoja wa Afya kwa ajili ya kuboresha na kuimarisha mifumo ya afya nchini ili kutoa huduma bora za afya ya msingi kwa wananchi sambamba…
Wakazi Kitunda, Kivule, Msongola waanza kuona mwanga, Serikali yawakumbuka
Na John Mapepele, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amemtaka mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Barabara ya Banana – Kitunda – Kivule – Msongola na Kivule – Majohe Junction, barabara za Kiwalani na Migombani kukamilika…
Pwani yafanya jitihada za kutokomeza malaria kufikia 2030
Na Mwavua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkoa wa Pwani unatarajia kugawa vyandarua 971,939 katika kampeni ya ugawaji wa vyandarua bure kwa kaya 426,637, kampeni itakayoanza Agosti 15, 2025. Kampeni hiyo ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kutokomeza ugonjwa wa malaria…
Mtendaji wa Kijiji adaiwa kujiua kwa sumu ya panya
MTENDAJI wa Kijiji cha Ulowa Namba Moja, Kata ya Ulowa, Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Juliana Mkumbo (30) anadaiwa kujiua kwa kunywa sumu ya panya. Kamanda wa Jeshi la Polisi, Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi alithibitisha kutokea kwa…
Wagombea ubunge, udiwani CCM sasa kujulikana Julai 28
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuwa kikao cha mwisho cha uteuzi wa wagombea wake wa nafasi za Ubunge na Udiwani kimepangwa kufanyika tarehe 28 Julai, 2025, badala ya Julai 19 kama ilivyokuwa imepangwa awali. Akizungumza na waandishi wa habari leo…