Author: Jamhuri
Watu 12,000 wahofiwa kuugua ugonjwa wa Himofilia nchini Tanzania
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar TAKWIMU zinaonyesha kati ya watu 6,000 hadi elfu 12,000 wanahofiwa kuugua ugonjwa wa himofilia nchini huku idadi ya watu waliogundulika kuwa na ugonjwa huo hadi sasa wakiwa ni 451 pekee. Hayo yalisemwa na Waziri wa…
Wakristo wahimizwa kusimamia haki, ukweli
VIONGOZI wa dini ya Kikristo katika Ibada ya Ijumaa Kuu wamewataka waumini kutafakari maisha yao kwa kina, kusimama katika ukweli, haki na kutubu dhambi kwa moyo wa toba ya kweli. Viongozi hao waliyasema hayo katika Ibada za Ijumaa Kuu zilizofanyika…
CHADEMA yathibitisha Lissu kuhamishiwa Gereza la Ukonga
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimethibitisha rasmi mahali alipo Mwenyekiti wake Taifa, Mheshimiwa Tundu Lissu, ambaye awali iliripotiwa kutoweka kutoka Gereza la Keko bila maelezo yoyote rasmi. Katika taarifa mpya iliyotolewa leo, Aprili 19, 2025, CHADEMA imesema kuwa baada…
Mgogoro wa ardhi JWTZ na wananchi, DC Serengeti awataka kuwa watulivu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Serengeti MKUU wa Wilaya ya Serengeti Kemlembe Ruota amesema kuwa wanasubiri taarifa kamili kutoka timu ya uchunguzi ya mgogoro wa ardhi uliopo kwa takribani miaka 17 kati wananchi wa Kata ya Kisaka na Jeshi la Wananchi…
Watu 70 wauawa kufuatia shambulio la Marekani huko Yemen
Zaidi ya watu 70 wameuawa na idadi isiyojulikana kujeruhiwa kufuatia shambulio la anga la Marekani kwenye bandari muhimu ya mafuta inayoshikiliwa na waasi wa Houthi nchini Yemen. Zaidi ya watu 70 wameuawa na idadi isiyojulikana kujeruhiwa kufuatia shambulio la anga…
Watu 143 wafariki katika ajali ya boti nchini DR Kongo
Takriban watu 143 wamefariki na wengine kadhaa hawajulikani waliko baada ya boti iliyokuwa imebeba mafuta kuwaka moto na kupinduka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa maafisa nchini humo. Takriban watu 143 wamefariki na wengine kadhaa…