Author: Jamhuri
Tanzania yachangia bil.1.6/- kongamano la eLearning Africa
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameongoza harambee maalum ya wadau wa elimu nchini kuchangia Kongamano la eLearning Africa, ambapo zaidi ya Shilingi Bilioni 1.6 zimepatikana. Akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Saalaam kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu,…
RC Makonda aipongeza timu ya ‘Safari Field Challenge’
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, leo Aprili 16, 2025 amekutana na timu ya washiriki na waandaaji wa ‘Safari Field Challenge’ katika ofisi yake kwa ajili ya kusalimiana na kubadilishana mawazo kuhusu mchango wa mashindano hayo katika kukuza…
Watu 50 wapoteza maisha DR Congo
Boti ya mbao iliyokuwa na abiria wapatao 400 ilishika moto na kupinduka karibu na mji wa Mbandaka. Ajali hiyo ilitokea Kaskazini magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kwenye Mto Congo, na kuwaacha watu wasiopungua 50 wakiwa wamekufa na wengine hawajulikani…
China yageukia Canada kwa uagizaji mafuta badala ya Marekani
China imegeukia uagizaji wa mafuta kutoka Canada baada ya kupunguza uagizaji wa bidhaa hiyo kutoka Marekani kwa karibu asilimia 90 huku vita vya kibiashara vikiendelea. Upanuzi wa bomba la mafuta Magharibi mwa Canada ambao ulifanyika chini ya mwaka mmoja uliopita…
Bolt yaona mabadiliko ya usafiri msimu wa kipindi cha sikukuu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Watanzania kwa kasi kubwa wanaanza kukumbatia utamaduni wa kusafiri ndani ya nchi, ingawa bado haujafikia kiwango au marudio ya mara kwa mara yanayoonekana katika mataifa ya Magharibi. Kwa mujibu wa Chama cha Kuendeleza…
TFS yapewa pongezi kwa kusaidia upandaji miti sekondari ya Nyambili–Nyambunda
Na Mwandishi Wetu, Kibiti Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Bungu, Mhe. Ramadhan Mpendu, ameongoza zoezi la upandaji miti katika Shule ya Sekondari Nyambili–Nyambunda jana, ikiwa ni sehemu ya kampeni endelevu ya…