Author: Jamhuri
Mbio za kukinadi Chama cha Mapinduzi Geita zaanza kwa kishindo
📌 Majimbo 7 kati ya 9 yapita bila kupingwa 📌 Kata 92 kati ya 122 zapita bila kupingwa 📌 Maelfu wakusanyika kusikiliza Ilani ya CCM 2025-2030 📌 Dkt. Biteko awasisitiza wananchi kujitokeza kwa wingi kumpigia kura Dkt. Samia Suluhu Hassan…
Sakata la muuguzi na askari kuvutana Hospitali ya Kibondo, Serikaki yatoa ufafanuzi
Na WAF – Dodoma Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe amewatoa hofu wananchi juu ya picha mjongeo (video) iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha Muuguzi na Askari wakivutana katika Hospitali ya Halmashauri ya Kibondo huku ikidaiwa askari kuvamia chumba cha kujifungulia, jambo…
RC Makalla awatembelea viongozi wa dini
. _Lengo ni kujitambulisha na kuomba ushirikiano . Asema ushirikiano wa serikali na Taasisi za dini ni muhimu. Mkuu wa Mkoa wa Arusha CPA Amos Makalla Leo Jumatatu Septemba Mosi, 2025 amefanya ziara ya kuwatembelea viongozi wa Dini Mkoani Arusha…
Nyenzo ya utekelezaji wa Sera ya Maendeleo ya Watoto imepatikana
Na Salma Lusangi, JamhuriMedia, Unguja Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Abeida Rashid Abdallah amesema Mpango Jumuishi wa Malezi Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto wa Miaka Mitano (5) utakapokamilika utakuwa nyenzo muhimu ya…
Tumekuja kusikiliza Ilani ya CCM hapa Bukombe – Geita
Makundi mbalimbali ya Wananchi wakiwa tayari kusikiliza Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2025-2030 kupitia Wagombea Ubunge na Udiwani Mkoa wa Geita ikiwa leo ni siku ya uzinduzi wa Kampeni za CCM mkoani Geita kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Watu 1,000 wafariki katika maporomoko ya ardhi Sudan
Katika tukio la kusikitisha lililotokea magharibi mwa Sudan, takriban watu 1,000 wamefariki dunia kufuatia maporomoko ya ardhi katika eneo la milima ya Marra huku mtu mmoja pekee akinusurika. Takriban watu 1,000 wamefariki kufuatia maporomoko ya ardhi yaliyotokea katika eneo la…