JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mramba ahimiza uzalendo na uadilifu kwa wanachama wa EWURA CCC

* Azindua Baraza la Tatu la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Nishati na Maji Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba, ametoa wito kwa wajumbe wa Baraza jipya la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Nishati na…

Samia: Tumetimiza ndoto na maono ya Mwalimu Nyerere

Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema serikali yake ya awamu ya sita na awamu ya tano zimefanikiwa…

Miaka 26 bila Nyerere; Dk Samia anastahili pongezi kwa kulinda amani na umoja wa kitaifa

Tanzania tunapoadhimisha leo miaka 26 bila ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Amani na umoja ndizo tunu muhimu alizotuachia na zikisimamiwa kikamilifu na kwa nguvu kubwa na Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

Majaliwa ashiriki ibada ya kumuombea baba wa taifa hayati Nyerere

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Oktoba 14, 2025 ameshiriki katika Ibada ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu. Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Francisko wa Asizi, Mwanjelwa Mkoani Mbeya. Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor…