JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Nchimbi awanadi wagombea Jimbo la Tarime

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi leo Jumapili Agosti 31 ,2025 ameendelea na kampeni zake kwa kufanya mkutano mkubwa katika mji wa Nyamongo, jimbo la Tarime vijijini mkoani Mara. Balozi…

Mbeto :Hakuna cha kuzuia ushindi wa CCM Zanzibar 2025-2030

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Chama Cha Mapinduzi kimesema kitashinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba Mwaka huu kwa mujibu wa sheria na taratibu za kidemokrasia kwani hakuna sababu ya CCM kushindwa Visiwani Zanzibar . Katibu wa Kamati Maalum ya Nec Zanzibar, Idara…

Mgombea kiti cha urais Za’bar achukua fomu

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi (kulia) amemkabidhi fomu ya uteuzi mgombea wa kiti cha urais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman leo Agosti 31, 2025. Othman anayegombea kupitia Chama cha Act-Wazalendo, amekabidhiwa fomu katika…

Dk Mpango aikaribisha Ghana kuwekeza ncini

Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amewakaribisha wawekezaji kutoka Ghana kuwekeza nchini kupitia fursa nyingi zilizopo katika sekta ya madini, kilimo, utalii, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), elimu na huduma za jamii. Dk Mpango ameeleza hayo alipozungumza na Balozi…