Author: Jamhuri
Dkt Makalla :Lishe Bora huepusha magonjwa yasiyoambukiza
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Watanzania wametakiwa kuzingatia mpangilio mzuri wa lishe bora ili kuimarisha afya ya mwili sambamba na kuongeza kinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza ambayo yameshamiri kutokana na mtindo mbaya wa maisha na ulaji usiofaa. Akizungumza…
Waziri Mkuu Majaliwa akabidhi tuzo ya umahiri kwa mkuu wa kitengo cha mawasiliano Wizara ya Nishati
📌Ni kufuatia Umahiri wa masuala ya Mawasiliano kwenye Maonesho ya Osaka Expo 2025 📌 Ampongeza kwa kuwa Kiongozi wa mfano wakati wa Mkutano wa Biashara na Uwekezaji na Utalii Osaka Expo 2025 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…
Urusi: Tumekiteka kijiji kingine Ukraine
Urusi imesema imekiteka kijiji kingine magharibi mwa mkoa wa Donesk nchini Ukraine Jumapili 13.07.2025 wakati vikosi vyake vikiendelea kupata mafanikio na kusonga mbele kuelekea katika mkoa jirani wa Dnipropetrovs. Wizara ya Ulinzi ya Urusi imekitaja kijiji hicho kuwa ni cha Myrne…
Chelsea yashinda Kombe la Dunia la Vilabu
Klabu ya soka ya Uingereza, Chelsea, imeshinda Kombe la Dunia la Vilabu kwa kuichakaza klabu ya soka ya Ufaransa, Paris Saint-Germain bao 3-0 kwenye mchezo wa fainali uliopigwa usiku wa kuamkia leo nchini Marekani. Ushindi huo wa Chelsea kwenye dimba…
Mwaipaja: Endeleeni kutumia majukwaa ya Wizara ya Fedha kujifunza
Na. Peter Haule na Joseph Mahumi,WF, Dar es Salaam Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja amewataka wananchi kuendelea kutumia majukwaa ya Wizara hiyo kujifunza kuhusu uchumi na fedha baada ya kuhitimishwa kwa Maonesho ya…
Wananchi Manyara wanatambua falsafa za Mwenge wa Uhuru – RC Sendiga
Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Manyara Mbio za Mwenge wa Uhuru hufanyika kila mwaka na kukimbizwa nchi nzima ikiashiria kuangaza nchi na kuvuka mipaka kuleta matumaini palipo kukata tamaa, upendo palipo uadui na heshima palipo chuki. Mwenge wa Uhuru hapa nchini…