JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Trump : Marekani sasa ni imara zaidi kuliko awali

RAIS wa Marekani Donald Trump ametoa hotuba kuhusu hali ya taifa mbele ya Bunge la Marekani katika kipindi ambacho taifa hilo linakabiliwa na changamoto za kisiasa ikiwemo mvutano unaoendelea na Iran. Hotuba hiyo imepewa uzito mkubwa na vyombo vya habari…

Teknolojia ya akili – Unde yageuka kimbilio kwa wajasiriamali wachanga Mtwara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara MKUU wa Wilaya ya Mtwara, Abdallah Mwaipaya, amewataka wajasiriamali na wafanyabiashara kutumia fursa zinazotolewa na Serikali, ikiwemo kujitangaza (branding) bidhaa zao za kibunifu, ili kuongeza thamani na kuziwezesha kufika katika masoko ya kimataifa. Akizungumza wakati…

Manyara yapitisha bajeti ya 2026/ 2027

Na mwandishi Wetu, Babati MKOA wa Manyara umepitisha rasimu ya mpango wa bajeti ya Sh327 bilioni kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027. Katibu Tawala msaidizi sehemu ya mipango na uratibu, Lusungu Mwilongo ameeleza hayo mjini Babati kwenye kikao cha kamati…

FCC yawataka waandishi kupaza sauti

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam TUME ya Ushindani (FCC) imewataka waandishi wa habari nchini,kutumiakalamu zao kupaza sauti ili watu wafahamu kazi za FCC na kukuza uchumi Rai hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi mkuu wa FCC, Khadija Ngasongwa, amesema…

Watu 46 mbaroni kwa tuhuma za wizi na makosa ya kijinai Dar

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewatia mbaroni watu 46 kwa tuhuma za kujihusisha na makosa mbalimbali ya kijinai ikiwemo unyang’anyi wa kutumia nguvu, uvunjaji wa nyumba na maghala (godown) pamoja…

‎Dk Samia: Ulinzi imara, amani ni msingi wa maendeleo ya taifa

‎Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, tarehe 24 Februari 2026 amezindua Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Kikombo mkoani Dodoma, na kusisitiza kuwa ulinzi imara na amani ni msingi wa maendeleo ya taifa. Akizungumza katika hafla…